Je! unajua ni sehemu gani ya mwili wako iliyo na niuroni zaidi kuliko uti wa mgongo wako na inafanya kazi bila kutegemea mfumo wako mkuu wa neva? "Utumbo" huenda lisiwe jibu la kwanza linalokuja ...
Utafiti unaonyesha afya ya utumbo inaweza kuhusishwa na kila kitu kutoka viwango vya mafutamafuta mwilini hadi msongo wa mawazo. Na kadri ufahamu wetu kuhusu jukumu la kiungo hiki muhimu ...