Hali ya taharuki imepanda kati ya Israel na Lebanon Jumapili jioni baada ya kifo cha kiongozi muhimu anayeheshimika katika kundi la Hezbollah, Samir Kantar, ambaye aliuawa Jumamosi katika mashambulizi ...
Mtu ambaye alishutumu uhalifu wa utawala wa Muhammar Gaddafi yuko machoni mwa mahakama ya Libya. Samir Shegwara, mwandishi mwenza (pamoja na Karl Laske na Vincent Nouzille) wa kitabu cha vilipuzi ...
Kiungo wa kati wa Sevilla Samir Nasri amemtuhumu Jamie Vardy kwa kutumia hila kutokana na kadi nyekundu aliyopatiwa siku ya Jumanne katika mechi ya Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya. Nasri, 29, alitolewa nje ...
Mchezaji wa Ufaransa katika safu ya kati Samir Nasri amefichua kwamba mojawapo ya ufanisi mkubwa wa mkufunzi Pep Guradiola ni kuwaagiza wachezaji wake kutofanya mapenzi baada ya saa sita usiku. Katika ...