News

Wakati biashara ya usafirishaji ikiendelea kukua nchini, watu wanaendelea kubuni njia rahisi zitakazowawezesha kufanya ...
Mshambuliaji Marcus Rashford anatarajiwa kurejea kwenye mazoezi ya kikosi cha Manchester United wiki ijayo, lakini bado ...
Watu 25 wamekamatwa nchini Kenya kutokana na vurugu zilizoibuka kwenye maandamano ya Juni 25, 2025 ya vijana maarufu Gen-Z ...
Hukumu ya kesi ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini yenye kurasa 60 na maneno zaidi ya 13,000 imejengwa juu ya ushahidi wa ...
Wakati mabosi wa Simba wakiendelea kujadiliana juu ya kumtema kipa Moussa Camara au la, taarifa kutoka klabu hiyo ya Msimbazi ...
Mabingwa wa Ulaya, Manchester City wamejikuta wakipgwa vikumbo katika michuano ya Kombe la Dunia la Klabu baada ya kukubali kipigo cha mabao 4-3 kutoka kwa Al Hilal ya Saudi Arabia, katika ...
Makongamano ya aina hii yanapaswa kuwa endelevu tukizingatia kwamba hilo ndilo kongamano mama la makongamano yote.
Watafiti wa eneo hili la hisia wanatuambia kuwa hisia, kama eneo muhimu katika makuzi, ni zao la uhusiano wa karibu baina ya ...
Kwa mujibu wa takwimu hizo jumla ya wanafunzi 158,374 waliacha shule za msingi na wengine 148,337 wakiacha sekondari mwaka ...
Magereza mapya nane yamejengwa, hospitali ya Dodoma na kutumia TEHAMA katika magereza 66. Zimamoto imepata magari 12, vituo ...
Amesema tuzo hiyo inawapa nguvu ya kusonga mbele kwa kasi na kuwa wamedhamiria kuboresha miundombinu yake yote ikiwemo ya ...
Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Issa Suleiman iliyotolewa leo Jumatatu, Juni 30, 2025 imeeleza tukio hilo limetokea Juni 27, 2025 saa 12 jioni katika Kijiji cha Lupaso mtaa wa Misheni.