Kampuni ya Beyond Wild Impact, inayofanya shughuli za utalii katika Hifadhi ya Taifa Serengeti, imesaini makubaliano na ...
Kampuni ya Kitalii Nomad Tanzania inayofanya shughuli katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti mkoani Mara, imetoa msaada wa ...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema jamii inapaswa kuwa na mtazamo mpya na kuangalia ufundi stadi ...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Eliakim Maswi amesema Serikali inatambua mchango wa watetezi wa haki za binadamu na inaendelea kuchukua hatua kuhakikisha wanapata ulinzi wa kisheria.
Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar (VTA) inatarajia kujenga vyuo vipya sita ambavyo vitajikita zaidi kutoa elimu katika ...
Ili kupanua wigo wa ajira na kufanya kazi nchi kavu na baharini wahitimu kutoka vyuo vya Veta wamehamasishwa kujiunga na Chuo ...
Mtanzania Shirika la Posta laingia mashirikiano na Bahati nasibu ya taifa ili kuongeza huduma ya michezo ya kubahatisha - ...
Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda amesema amefurahishwa na kazi inayofanywa na Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi ...
Katibu Mkuu wa Chama cha National for League Democracy (NLD), Doyo Hassan Doyo, amechukua fomu kugombea urais wa Jamhuri ya ...
Mitawi amesema mazingira ni sekta mtambuka inayogusa Wizara zote za kisekta ndani ya Serikali na hivyo upo umuhimu wa kuandaa ...
benki ya Maendeleo ya TIB imewekeza zaidi ya Sh bilioni 630 katika miradi ya maendeleo, ambayo imesaidia kuzalisha zaidi ya ...
Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Dk. Prosper Mgaya, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio na ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results